Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

View attachment 548818
Usi focus sana kwao, wewe fanya mambo yako tu!
Tafuta pesa utazipata!
Focus kwenye maisha yako tu!
HESHIMU MAMLAKA ILIYOKO MADARAKANI!
Mwenye Enzi Mungu anajua analo lifanya!
Polics is a dirty game!
Hiyo energy uliyo nayo saka michuzi!
Utashangaa walahi!
Indeed ndicho ninachofanya ask Mkuu
Quigley si mchezo pesa money pesa money nasaka mpka vibarazani
 
Back
Top Bottom