The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
True,Alafu siyo kila unachopanga lazima kufanikiwa, hata kufeli ni matokeo pia.
Tuwe tiyari kwa hali zote
Hata maadui zako pia wana mchango mkubwa sana katika mafanikio yako,sometimes hua tunajitahidi kuyafikia mafanikio ili tu kuwaonyesha maadui zetu,so nao wana mchango pia kwenye mafanikio yako.