Maisha ya ukichaa raha sana kila kitu ni cha kuokota tu!
Indeed ndicho ninachofanya ask MkuuView attachment 548818
Usi focus sana kwao, wewe fanya mambo yako tu!
Tafuta pesa utazipata!
Focus kwenye maisha yako tu!
HESHIMU MAMLAKA ILIYOKO MADARAKANI!
Mwenye Enzi Mungu anajua analo lifanya!
Polics is a dirty game!
Hiyo energy uliyo nayo saka michuzi!
Utashangaa walahi!
Nimewahama hawanipi likes
Huku kwa wiki wamenipa likes +40k
Kule ni malalamiko tu hawana shukrani
Uko nimehamia kwa sasa
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nimewahama hawanipi likes
Huku kwa wiki wamenipa likes +40k
Kule ni malalamiko tu hawana shukrani
Uko nimehamia kwa sasa
Huu uzi ni kama unga,naona umekulevya[emoji1][emoji1]
Kama yapi zaidiYes mkuu. Napenda kufaham zaidi
Mh! Mkuu kwa hiyo uko tayari kuyaishi maisha haya? Mie nayaogopa sana.
Nimewahama hawanipi likes
Huku kwa wiki wamenipa likes +40k
Kule ni malalamiko tu hawana shukrani
Uko nimehamia kwa sasa