Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna jamaa alipata mpenzi humu JF,wamelalana mara moja tu jamaa kasepa.Kibaya zaidi kaja kaanzisha uzi wa kumponda bidada
Uzi gani huo?

Niliona pia mahali kule telegram mtu akimsema mdada wa humu tena mashuhuri sana...
Anasema eti kamkimbia kwa sababu binti anataka mambo isivyo.
Nikaona utoto nikakimbia na hiyo channel moja kwa moja!​
 
Back
Top Bottom