andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Sijui kama hauja futwa,yeye wamelalana mara moja tu.Anacho lalamika anasema bidada hana mvuto na mengine meengi kwa umri wangu sistahili kuyaongeleaUzi gani huo?
Niliona pia mahali kule telegram mtu akimsema mdada wa humu tena mashuhuri sana...
Anasema eti kamkimbia kwa sababu binti anataka mambo isivyo.
Nikaona utoto nikakimbia na hiyo channel moja kwa moja!