Sijui kama hauja futwa,yeye wamelalana mara moja tu.Anacho lalamika anasema bidada hana mvuto na mengine meengi kwa umri wangu sistahili kuyaongeleaUzi gani huo?
Niliona pia mahali kule telegram mtu akimsema mdada wa humu tena mashuhuri sana...
Anasema eti kamkimbia kwa sababu binti anataka mambo isivyo.
Nikaona utoto nikakimbia na hiyo channel moja kwa moja!
Wap hukoKumbe humu kuna groups za whatsapp eeh
Nipe link.....Hata sikutaka kuendelea nae,maana ameandika udhalilishaji wa kimaumbile
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio hivyo ila najua umezipitia.Nimeona nae sijui ni gen...nae kaleta uzi analalamika hayo hayo[emoji23][emoji23][emoji23]mimi shiwaladu eeh
Ukienda wekaNgoja niende huko kama bado uzi upo...
Ni muhimu pia kujua mtu unahangaika na mtu wa aina gani.
Ni hawa hawa wanakubaliana na binti anampiga picha.
Wakikosana tu anamwanika mitandaoni.
Ni unyama wa hali ya juu!!!
Zitakufa nionavyoKumbe humu kuna groups za whatsapp eeh
HakikaNgoja niende huko kama bado uzi upo...
Ni muhimu pia kujua mtu unahangaika na mtu wa aina gani.
Ni hawa hawa wanakubaliana na binti anampiga picha.
Wakikosana tu anamwanika mitandaoni.
Ni unyama wa hali ya juu!!!