Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni lazima kutofautisha maisha ya ya mtandaoni na maisha halisi - hasa kama una malengo. Na maisha haya yakiingiliana basi yaingiliane kwa uangalifu na katika ukweli. Mtandaoni huku pia kuna waliopata wenzi bora kabisa pamoja na fursa nzuri za kibiashara zilizowatoa kimaisha. Yote kwa yote ni kuwa mwangalifu na kutoamini watu mapema bila tahadhari - hasa wakati huu ambapo upendo miongoni mwa watu umepoa sana!​
KWELI KABISA
 
Back
Top Bottom