Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23]wanaume hawaaminiki ukiwa hivyo atakuacha akatafute mwembamba tena mwenye flatscreen...halafu wanawake wengi tunajisahau tukisha zaa,sasa niwe hivyo halafu nizae nijiachie si atanikimbia shemeji tena kimbio lenyewe na parables juu[emoji23][emoji23]
Hapo kwenye kujisahu nakubaliana na wewe mnajisahau sana wakati mngeweza kujiweka mkawa fit kama mwanzo tu. Ila mwanamke akisha za utasikia, "mimi nimesha kuwa mama bwana mambo ya kisichana tupakule". Hapo mmesahau kuwa wavulana hatukuii
 
Back
Top Bottom