Hahahaa! Bob marley ONE LOVE.As it was at the beginning so it shall be at the end
Karibu sana hapa rubii[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Rubiikimimi[emoji85]
AMUN RAAtatoka tu kwa MASSIV POWERS BEYOND HUMAN THINKING POWERS!
UNIVERSE inavyo ona, siyo kwa macho ya binadamu yaliyo jaa uchu wa madaraka na uroho uliyo pita kiasi!
Kwa nini nitumie nguvu kwa kuharibu my beautiful life on this amazing EARTH!
Acha UNIVERSE ifanye kazi yake, wewe chagua kuishi na ku enjoy life!
Good morning my dear!
Ahsante, ndiyo nikipata chance nitakuwa nakuja kugawa likes
Afya kwa wote AfrikaGood morning Africa
Afya kwa wote TanzaniaGood morning Tanzania