Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-07-24-08-59-36.jpg
 
Mambo ya mtandaoni haya ni hatari sana.
Mimi nilipatwa na mkasa wa kushangaza mwaka 2009 na kuanzia wakati huo sitakaa nionane na mtu ambaye eti nimekutana naye mtandaoni. Tutataniana humu tu na kila kitu kitabaki humu humu. Hata kama mtu anataka msaada wangu kama nitaamua kumsaidia siyo lazima tuonane. Simwamini tu aisee....​
Be positive kabisa acha watu Wa mtandaoni mnamaliza mtandaoni
 
Back
Top Bottom