moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Anakuharibia, mi mwenyewe najua unakalia kiti cha Cole ili nami nipate amani kwa nsamakaNakuangalia tu mzee wa ini....
Sent using Jamii Forums mobile app
Anakuharibia, mi mwenyewe najua unakalia kiti cha Cole ili nami nipate amani kwa nsamakaNakuangalia tu mzee wa ini....
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mshahara wa mwezi huu ni kama mwandamo wa ramadhani, wengine wanasema WAMEUONA wengine HAWAJAUONA
Endelea kuziweka zote ulizonazo, ukifika kwenye lengo langu itabidi tutafutane
Hakika, ndiyo maana ukaitwa CleverKINGKila binadamu ana umuhimu wake hapa duniani,wewe ukijua hili wengine wanajua lile.
Hata hivyo haki iliyopotea hutafutwa ikibidi kwa nguvu, vinginevyo itabakia story tuHaki haipotei bali huchelewa tu.