The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Hata simba kibogoyo bado ataendelea kutisha tu kama simba mwenye meno!
Karibu mwenyekitiNAMIIII NIPOOOO
Pokea likesKula Likes
Haki haipotei maana yake sio uipate hapa duniani tu,Mungu atakulipa na kumuadhibu aliyekudhulumu siku ya malipo/siku ya hukumu.Hata hivyo haki iliyopotea hutafutwa ikibidi kwa nguvu, vinginevyo itabakia story tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga wake ni wa kimaumbile, hatabadilika mpaka kwanza abadilike dondora anayetengeneza masega yasiyo na faidaSiku inzi akiacha ujinga anaweza kutengeneza Asali.
Karibu mwenyekiti
Mama hatari sanaSara martin simbaulanga.
Nasi tunakupendanawapenaddaaaaa
They're smart upstairs, that's their nature
AmenHakuna binadamu akawa mbaya kwa watu wote au akawa mzuri kwa watu wote! Ishi maisha yatakayompendeza Mungu coz binadamu huwawezi.
Teh teh tehMwenyekiti aje na kiti chake humu hatuna viti.
AtakubanMwenyekiti aje na kiti chake humu hatuna viti.
Good morningGoodmorning humu...
Yule umemsahau
Mwenyekiti