Uwongo! Dada siyo bidhaa kwamba inabadilishwa badilishwa tu. Mume tunayemtambua sisi wanaukoo ni Andjul. Pambana naye lakini mimi sihusiki aisee..
Mwongo huyo bageshi. Wewe bakia na Andjul wako muendeleze familia yenu iliyojaa upendo na mibaraka tele.Kwhy lini anakukabidhi mke? Ila andjul akijua walah ataniua hahahah
Njooo mama, najua hako kajibu kama mkuna sana KK, Andjul na Ho chi Minh wazee wa kuvamia maziziCan't wait!!!