utawala,pesaJUPITER
Sawa mkuuHaki haipotei maana yake sio uipate hapa duniani tu,Mungu atakulipa na kumuadhibu aliyekudhulumu siku ya malipo/siku ya hukumu.
Yuputawala,pesa
Morning shemeji. Mkeo alikuwa hapa mida ya wanga akidai usingizi umemgomea tukamwambia akuamshe mjadili source ya ubahili wa Wapare akasema umelala hawezi kukuharibia usingizi wako. Umepata mke mwenye tabia nzuri sana. Hongera!Morning Shimba ya Buyenze
HahahahaNdiyo unaligundua leo hili?
Nilishafika Katerero. Nice place, nice people![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Katerero kwetu
Chezea likes weye[emoji12]
Zaburi 54