Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii vita kila nikichungulia mapambano ndo kwaaaaanza kama yameanza.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu likes zenyewe ni infinite sasa na sisi haturidhiki.

Kwa wengine (mi nikiwemo) muhimu hasa kwa sasa ni ule urafiki ambao umejengeka kati yetu hapa. Ndiyo maana nikienda jukwaa jingine naonekana kama mgeni na inabidi nirudi tu. Hakuna namna!
 
Back
Top Bottom