Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inawezekana ila Jamaa ni Kama mourinho ana mchango mkubwa Sana. Sijawahi kuacha kusoma comment yake hata Moja.

sent from my Samsung S9 plus using jamiiforums mobile application.
Aisee! Pambaneni atarudi tu ila hii vita ya likes aliyomo kwa sasa haijawahi kumuacha mtu salama. Ni uraibu utadhani Cocaine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii vita kila nikichungulia mapambano ndo kwaaaaanza kama yameanza.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hhahaa kweli mkuu nikazani ana ban kule

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hakuna cha ban wala nini. Ni likes mkuu. Hata wewe jaribu kukaa hapa kwa muda mrefu tuone kama utaukumbuka huo uzi wa Manchester United !
 
Back
Top Bottom