YahKazi gani mkuu? Wakati mwingine woga tu unatusumbua. Katatizo kadogo mtu umeshapanick. Kumbe ungetulia na kupambana ungegundua ni ishu ndogo tu. Avoid running without knowing who is chasing you. Wadhani simba kumbe unakimbizwa na digidigi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nzuri sanaHabari za jioni
IndeedYah
Determination ni muhimu sana
Sana sijui yuko wapi Siku hizi mwizi hayari wa benki enzi hizoMama hatari sana
AmenSeek wisdom and you will find
Ndo hivyo hivyo tu. Na huyo dogo alikuwa anataka kuja kivingine ili kuchafua hali ya hewa. Nimeona negotiation skills zako. Safi sana!Bro umeona huu mvurugano wa
Sasa utulivu hakuna kabisa
HahahahaNadhani ni code ambayo inajipost yenyewe automatically. Jaribu kuifuatilia utaona. Jaribu kui-quote na utaona una-quote kitu tofauti tofauti. Sijui kama naeleweka!
Siyo Bongo muvi kweli?