Si ndio hapo sasa, wanaibuka tu ghaflaNsamakaaaaaa. Watu wana jaribu mazizi yenye wenyewe
Bora umekujaWale mlio makazini poleni kwa kazi
Hahaha kijana analeta fujoDunia ya sasa hii
Yaani Kuna nn
Itabidi waungane wote kwenye thread akirudi huko wawe wanampa likes hata mia kila comment. Naamini atarudi lakini hii kibembeleza kwa maneno matupu sidhani kama itasaidia cho chote. Mkono mtupu haulambwi ati!Tatizo wachoyo Wa likes
Kawaiginoa kabisa!!!Shimba halafu jamaa hata kuwajibu no yeye ni post Na likes tu hahahahaha