Niliambiwa abiria chunga mzigo wako. Na wewe chunga wako. Naonaaaaaaa kwa mbaliiii...........Dooh!pole sana uniq nani tena anamendea mali zako?
[emoji34][emoji34][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]GeJO
I left a lot
Of message for go
Back and check them
Mcheki Cole na GejoNimekuja na nakutana na hu ujumbe[emoji22][emoji22][emoji22]
Here you are? You survived! Umechokaaa...Pole sana!Habari watu wa humu
Bora kupanga kidogo na kufanyia kazi kuliko kuna na lundo la malengo mpaka linaozaTuna mafilosofa humu yaani hata Plato cha mtoto.
Ni kweli mkuu na hili ni tatizo la wengi. Mipango kibao utekelezaji ziro miaka nenda miaka rudi!
Mnatoa likes na kupokea