carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Ng'ombe utawakuta njeeGeJo naona kaja anataka kuvunja ukuta
IndeedSuccess is
My only option
Hahaha niceNaangali huku nafurahia kukuona humu ndani.
Duu mkuu unapenda ng'ombe kiasi hichoooMalizana na Andjul mkuu. Mimi sihusiki. Mimi ninachotaka ni ng'ombe ali mradi kama dada karidhia. Sasa anayetambulika ni Andjul. Kukiwa na mabadiliko nitonye!
Pole sana next time kukiyokea kitu kika kuudhi ni PM kabla hijatoa neno mdomoni. Na usubiri mpaka kaka yako nikujibu.Hahaha nice
For herBabe S amefurahi huyo kusikia umerudi
Pole sana next time kukiyokea kitu kika kuudhi ni PM kabla hijatoa neno mdomoni. Na usubiri mpaka kaka yako nikujibu.