Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Halafu likes zenyewe ni infinite sasa na sisi haturidhiki.

Kwa wengine (mi nikiwemo) muhimu hasa kwa sasa ni ule urafiki ambao umejengeka kati yetu hapa. Ndiyo maana nikienda jukwaa jingine naonekana kama mgeni na inabidi nirudi tu. Hakuna namna!
Mkuu nilipita majukwaani huko nikajikuta namwaga likes bila kujua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
images

sijui numbisa anarudi lini
Hakika tumemiss sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom