Mkuu nilipita majukwaani huko nikajikuta namwaga likes bila kujua.Halafu likes zenyewe ni infinite sasa na sisi haturidhiki.
Kwa wengine (mi nikiwemo) muhimu hasa kwa sasa ni ule urafiki ambao umejengeka kati yetu hapa. Ndiyo maana nikienda jukwaa jingine naonekana kama mgeni na inabidi nirudi tu. Hakuna namna!
HahahahaMkuu nilipita majukwaani huko nikajikuta namwaga likes bila kujua.
Sent using Jamii Forums mobile app