Sio lazima kila mtu ashiriki kwenye maeneo ya makwazo ndio aonekane mpambanaji.Wengine tumezaliwa kwenye neema,tunakula kwa mujibu wa ratiba ya mama itakavyo.Komaa kuandika point,nasi tuna komaa na kitonga,muda wa kula LIKE ukifika wote tutakutana mezani.Pole sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Habari za asubuhi wazee wa vitonga vya kupata likes bila kuandika point.
Sent From Guest House
Yap chief niajeeMark Msue