Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sio lazima kila mtu ashiriki kwenye maeneo ya makwazo ndio aonekane mpambanaji.Wengine tumezaliwa kwenye neema,tunakula kwa mujibu wa ratiba ya mama itakavyo.Komaa kuandika point,nasi tuna komaa na kitonga,muda wa kula LIKE ukifika wote tutakutana mezani.Pole sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Point
 
Ubarikiwe
Kuwa grateful na maisha ni neema
 
BAK mimi naomba nikushukuru kwa uungwana wako. Ni ngumu sana kwa mwanadamu kuomba msamaha au kukubali kitu ambacho alikikata.
Huu uzi umetupa nafasi nyingine na sababu ya kuwepo JF. Tumegundua kuna maisha ndani ya JF. Watu wana furahi wanacheka tumekuwa na marafiki ambao hatujawahi kuonana. Wewe mwenyewe ukipotea lazi uuliziwe umekwenda wapi.
Bro ubarikiwe sana Mungu azidi kukupa amani kuwepo humu.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] mtoto wa shule kuna muda akili zikikukaa sawa una maneno ya hekima sana.Nakuombea ufaulu vizuri mtihani wako wa mwezi November ili mwakani ujiunge kidato cha tano. Ubarikiwe sana[emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom