Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapa ni safi, tulikumiss kwa takribani masaa 36 hivi, tunashukuru leo tumeungana nawe, usiku uliopita tuliungana na member wetu hapa, mpiga picha wetu, yani kipenzi chetu "numbisa" kwahiyo furaha yetu inaendelea. kwa sasa hatujajua mahali alipo mchina wetu ho chi minh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom