Mi nawapa tulizo la moyo maana wanakuwa katika kipindi kigumu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio maana usumbufu kwenye mazizi yetu umepungua!!! Unakula wake za watu walio kwenye maugombi??? Wewe ni mbaaayaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124]Si umjibu tu moudgulf ukweliii....Moudgulf achana na Kaandjul kwenyewe ndio kapo shule. Mimi na mikanjuni hii ya TAIRI TATU kitambo sana
Salama kichwa kichafuBob12 habari yako mkuu
Kichwa usipende sana vyeo ukiwa kibiti, cheo si kitu cha kujivunia kwenye wilaya hiyoHuyo mzee hawezi kukaa kibiti huku mi mwenyekiti huku mbona si taarifa zake
Pokea zako
Kule sio sehemu salamaKichwa usipende sana vyeo ukiwa kibiti, cheo si kitu cha kujivunia kwenye wilaya hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Numbisa, welcome back...nimefurahi kukuona...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uniq na biashara zake za kuku
Tanga kwema kabisa. Tuna subiria ugeni wa mkuu ila bado hajafikaMungu ana makusudi na sisi, hata hali iwe ngumu kiasi gani hajawahi kutulaza njaa.Kwa kweli tupo vizuri kabisa.Habari ya Tanga