Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

images
 
Mkuu hizi mbio za kukimbiza hela ya karatasi kwenye upepo huu wa KUSI acha kabisa,kuna muda zinasombwa na kimbunga hata hazionekani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unaanza kuzitafuta kwa kipofu's style[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole sana ndio maisha kuhangaika. Ila mambo sio mabaya nadhani. Vipi familia haikambo
 
Back
Top Bottom