Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Majukumu huku kibiti ni njema sana.Sema kiongozi, habari ya majukumu
Sema nasuluhisha kesi za ndoa tu hamna kingine kibiti amani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Majukumu huku kibiti ni njema sana.Sema kiongozi, habari ya majukumu
Karibu nimeshafika kibiti ila sikuoniNimerudi tena ndugu zangu
Kwema kabisa vipi ni Kibiti inakuweka busy hivyo??Mkuu kwema[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siku nyingi hatuja kutana
Kula chuma cha like hadi uache kuniquote.The one and only
Nimejifungia tu.Natwanga nyundo la like kwa wote ambao sikuwapa tangia jumamosiHahaha pole sana kwa kuumwa. Pokea dawa. Kichwa kikae sawa
10:2510:10
AMUN RA
Judge number 54
UNIVERSE is on my side forever
Bora mimi na Kuku wangu wala sijuii ajira nini.
Nakunyuka likes
Habari yako queen
Aise vipi laki mambo yanakwendaje. Sijakuna siku mbili tatu.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Hahahaaaaaa sio wewe mkuu