Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
ho chi minh yupo nimetoka kumsalimia ikwiriri japo majukumu bado yamemkamata huyu mdogo wanguHapa ni safi, tulikumiss kwa takribani masaa 36 hivi, tunashukuru leo tumeungana nawe, usiku uliopita tuliungana na member wetu hapa, mpiga picha wetu, yani kipenzi chetu "numbisa" kwahiyo furaha yetu inaendelea. kwa sasa hatujajua mahali alipo mchina wetu ho chi minh
Sent using Jamii Forums mobile app