Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Numbisa, naomba usinione mimi ni mkorofi kwa uniq. Dogo naona unanitafuta sana...Leo nimeomba ruhusa ya kuumwa (ila siumwi kiukweli) ili nipambane na wewe...inawezekana una uhuru wa kunipanda kichwani,bati noti tu zati eksitenti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha pole sana kwa kuumwa. Pokea dawa. Kichwa kikae sawa
 
Back
Top Bottom