mzee wa liver kichaa wa likesKama kawaida
Jamaa hujuii ana shida ya tezi dume na mimi ndie Dr wake. Uzee ule hawezi kosa hayo maradhi.Anadai unarukia rukia mi mama iliyokuzidi umri ilhali bado unasoma!! Angalia sana dogo, maisha hayakatiwi denge wala kuyapitia njia za vichochoroni eti uyawahi kwa mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Haswa
Ndio nimeingia kurusha ngumi za uso za likes
Hahah na uzee wake mimi ndie mjanja wake
From unkown to infinityNi endless Uzi wanakuja Na kuondoka yaani upo muda wote
Kichwa kichafu nduguCole Williams ndugu mzee wa tandabui heshima yako
10:578:44
AMUN RA
UNIVERSE is on my side forever
Nawe pia jana kimya kulikoni?Heshima yako mkuu
Uza smartphone fuga kuku wa kisasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani badae ngoja nikahudumie kuku wangu.