uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,086
Hahah maisha yangu yote nafuga kuku tuu hata hii niliyonayo ni malipo ya KuKuUza smartphone fuga kuku wa kisasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahah maisha yangu yote nafuga kuku tuu hata hii niliyonayo ni malipo ya KuKuUza smartphone fuga kuku wa kisasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tunarudi kama wa Israel taratibu tu tunarudi humu humuWatu wamepotea
Wao ni wenyewe chakaram wameshakutana na changamoto mbali mbali kwenye harakati zao na hawajawahi kushindwa kuendelea na biashara zaoWasije wakachezea sharubu za mzee watajuta
Na maloli na mafusoTwambombo
Tununu
Ndaga fijo
Sijui nn na nn huko
AbsolutelyNaona kazi zimeshaanza
Ongeza na amaniNajisikia
Furaha
Kuwa hapa
Tuko mbioni
Sijatetwa mama nadhani furaha imekujaa kama mimiSijamuona sijui katekwa
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]GeJo malkia wangu habari yako
MajiChapati
Nipo nipo mkuu nimerudi baada ya kimya kirefuUmemwona kichwa kichafu huko
Mzee uzima upoMdogo wangu Cole, mzima??