andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Punguza makali ya salaam yako,kwani siruhusiwi kuchepuka?Huku salama tu,mkeo hajambo?
Punguza makali ya salaam yako,kwani siruhusiwi kuchepuka?Huku salama tu,mkeo hajambo?
Hahahahaha mna mambo nyieDogo jana nilifadhaika sana,yaani mimi na ho chi minh hatuja vaa naniliuu,yaani dude izi auti. Linasubiria kuamshwa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Habari ipi unataka
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Si kupotea si nilienda kukutafuta mtaani bibie kila corner et naulizia kwa carbamazepine wapi.
Kumbe nimekuacha humu aisee we bibie jamani wewe
Noah za makinikiaNasikia noah yako ya brown[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyi ni ndugu nawashangaa mnavyotaka kukalia sofa mojaHao wote wawili ni majirani zangu,japo Mwambene amefariki mwezi jana.Mwaipopo yupo anajenga,chunga maneno isije kuwa tunafahamiana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na mimi kama wewe najisikia vivyo hivyoUnanifanya
Muda mwingi
Niwe na ww
Every time nione post
Yako likes zako zanifariji
Umenipa nguvu ya kupenda kuishi
Asante
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kagwina