Heee[emoji15]Nishakujaza
Wanaupiga vita hukooo mtaa wa pili uzi unaenda kuvunja rekodi[emoji3][emoji3]Huku ni amani hakuna sababu ya kufuta
Pokea ya kwakokula na hiyo ingine
Usianze kufukua mambo mkuu.Hivi mmiliki wa JF anapataje faida..
Kuhasi dini maana yake ni nini mkuu? Huku Koromije huwa tunahasi madume ya ng'ombe lakini dini?!Hakuonekana na binti hakuwah kuhasi dini lakn alikufa kwa ngoma
Bando mzozo nipoSijakuona kitambo
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]So sweet[emoji23]
hahahahahahaaa md one wanakuaga na wenge sana la shuleKabisaaaa akifika MD two ataacha[emoji3][emoji3]