Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,776
- 126,721
Ndiye mla nyamaSimba mwendapole
Ndiye mla nyamaSimba mwendapole
Pole pole mkuu...mkuu umetoa nyuma alafu sasa hivi unaomba mbele?
...Kuliko fedheha!Bora lawama
Wahamie humuWanaupiga vita hukooo mtaa wa pili uzi unaenda kuvunja rekodi[emoji3][emoji3]
Kwa sanaNi mwendo wa kukimbiza tu
Na ukianza kula nyama ya mtu utaendelea tu kuila...Ndiye mla nyama
Kuacha au kupinga au kujitoa kama unavyosikia waasiKuhasi dini maana yake ni nini mkuu? Huku Koromije huwa tunahasi madume ya ng'ombe lakini dini?!
WanaumeDar mpaka moro
AlertNews...