kaburungu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 3,954
- 7,530
Safi sana.Ni kwel mkuu, ndo maskan huko
Safi sana.Ni kwel mkuu, ndo maskan huko
Mbona[emoji15]Heee[emoji15]
Yaani mwaka mzima unapata like Mbili tu [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Kwakweli Uzi umepunguza upungufu wa likes
Unajua mzee wa liver chukua likeKobe Bryant
Kama ni hiyo basi ni kuasi siyo kuhasi. Kuhasi ni pale unapofumaniwa halafu jamaa wanakuponda makende nyang'anyang'a ili usizae tena. Irabu za Kiswahili zina mambo eeh!Kuacha au kupinga au kujitoa kama unavyosikia waasi
Kula like!Fsdffrf
ZidumuZidumu fikra za jembe kilo
Sawa sawa nimekuelewa, nlifikiri ni jamaa.[emoji23]Yule siyo jamaa. Ni binti. Kama ni jamaa nisingemtania hivyo mkuu..
Umejuaje kama wewe unachoka?huu uzi kuna watu hawachoki
Mlambishe mkuu kama ninavyokulambisha[emoji12]Hata ugune mimi nakulamba likes tuu!!
Mnawaongelea akina nani?Tatizo wanataka kujiona