mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Post chochote update likesUkiona hupewi LIKES tambua kua wewe ndio hutoi LIKES..
Post chochote update likesUkiona hupewi LIKES tambua kua wewe ndio hutoi LIKES..
[emoji23][emoji23]mzee wa fursa nakuona...uniq mmempania leo lolPamoja na utamu wa uzi huu tumuonye mwanafunzi anayepapia mapenzi wakati hajamaliza mitihani yake ya A level. Nawe babe S mpe nafasi uniq asome, kama kuna tatizo nitafute ili nilitatue
Sent using Jamii Forums mobile app
mzee wa liver anahusika kabisa na kupotea kwa ho chi minhMkuu wewe ndiye chanzo.. Tunakudai umrudishe akiwa na vidole vyote vya Ku like-ia.Au nianzishe bango la kukushutumu???
Tuko kimakinikia zaidi
Habari mzee wa masakiHi my princess
Hahahahah carba mijibaba hii ina yao tu....hata haiminiki...lbd uniq [emoji12] [emoji12] [emoji12]Naona mijibaba inakupigania tu...hongera[emoji23][emoji23][emoji23]
babe S kwani wewe hukunimiss mie maana jibu lako hapa litaniweka hapa au ICUAsantee...umemisiwa pia...[emoji12]
kwema kaka mubayaThe Chosen One kaka mudogo mukubwa kwema
Ukicheka tabasam lako acha tu wengine wanaona emoji tu haya mahaba haya[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kama TLBibie ondoa hofu hili ni jeshi la mtu mmoja.
Kocha mchezaji kocha mimi mchezaji mimi keeper mimi.
13:2111:44
AMUN RA
Heri ule pilau makinikia kuliko kusubiri noahNoah za makinikia
CleverKINGSindano ni ndogo lakini inashona Magunia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah kumbe ulikua unaisoma siku nyingi tu haivukiNdugu yangu leo hebu vua hiyo kofia kwenye avatar upumzike kidogo