13:2512:15
Maqna nafanya hivyo ili kupunguza jaziba kati yao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Cheo chake simple ni kusuruhisha ndoa za watu yaani ukiwa Na ugomvi Na mke wako
Unakwenda kwa unamwacha usiku kesho unamfuata asbh keshemaliza kesi
Haiwezekani mwafunzi mfuga kuku achukue warembo ili hali tunamwangalia tu. Hakuna kitu kama hichoHakika mkuu,naona dogo ananiangalia kiupande upande tu humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na wewe kivipi fafanuaNa mimi kama wewe najisikia vivyo hivyo