Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Mbona unarudia mara mia mia kulikoni sema tukusaidie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante KAMA
KUKUPENDA NI KASORO
BASI SITAKI KUKAMILIKA TENA
What'sIn Qaddafi's compound, Libyan rebels found a photo album filled with pictures of Condoleezza Rice.
Hajinishinda ili siwezi sema mengi hapa maana ni siri ya ndaniHata wewe?nsamaka kakushinda eeh[emoji23][emoji23]
Hahahahaha[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Matatizo ya kusoma PCM hayo...muda wa nyimbo za mapenzi ulikuwa busy na mifomyula...ona sasa mifomyula imekuacha una hangaika na ngonjera za mapenzi ukubwani....Pole lakini...utafanyaje sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahha. Laiti ungelijua wala usinge ongea hayo maneno
HahahahaSawa kabisa
HahahahahaAiseee!!!! Huyu mzee mwisho wake sio mzuri.Ugomvi wa ndoa ndio furaha yake!!!
Mtasumbuka sanaAtathibisha hadharani, lakini moyoni anajua anachotaka. Mwache usimpangie
Sent using Jamii Forums mobile app
We mzee unaakili sana hivi vitu hata Einstein alishindwa kugundua[emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] bw mdogo anajipa imani kuwa babe S ni wa kwake peke yake. [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2]. Huyo ni wetu sote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizi ni kauli za kujifariji tu mtu ukibugi ila ukweli unaujua[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ww mzee ww
Uzur wa mtu
Upo machoni kwa Mtu