uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,086
Hizi bahati mbona sizipati andjulNjoo nikutulize basi[emoji23][emoji23][emoji23]
Wache Cole wangu jamani[emoji23][emoji23]Mbona unarudia mara mia mia kulikoni sema tukusaidie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahahhahahhahahhaha
Yap mkuuMzee wa liva
GeJo yupo mokono salamaNaomba umtulize GeJo tafadhali
[emoji23][emoji23][emoji23]unajifanya kuungana na andjul kwa babe S kumbe unamzunguka na yeye kwa nsamaka[emoji23][emoji23][emoji23]wanaume hampendani kweli
Kama kawaKama kawaida
Ndoa za watu zipo salamaKibiti ni shwari kabisa tunakula matunda ya kila aina amani tu
Wivu jamani hata mimi nakuonea wivu, mbona wote mnakimbilia kichwa jamani!!!? KhaaaSwafi post tunataka kukujaza milikes kibao Mkuu
Ugonjwq umeamia kwenye post za uniq[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante mkuu,uwepo wenu karibu yangu hakika nitapona.Nimegoma kwenda hospital, muda wa kuhojiana na doctor mungeniacha pages nyingi sana...so, nimeamua kukomaa,hata ugonjwa umeungana na mimi kwenye like[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]ID yangu ilihakiwaCarba ni wewe au simu imetekwa na house girl.....
Cc Cole