Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Mwenyekiti hebu mwache mama klareee apate likes zake hayo mengine achapitia nyuzi zang ulike maana ndio desturi yetu
Mwenyekiti hebu mwache mama klareee apate likes zake hayo mengine achapitia nyuzi zang ulike maana ndio desturi yetu
Mijizi tuu[emoji124] [emoji124] [emoji124] badala yake zikaenda kwa nani??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lolTulia wewe,watu wazima tuna farijiana.Ukitaka kupiga kelele nenda darasani kacheze na wenzio
Karibu tena mkuuThanks ngoja nikale sasa.
Atakuwa ana GunduKwamba kichwa kachemka kwa GeJo? Kichwa tatizo nini lakini.....au..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona una hamu ya kutenguliwa kiungo
HahahahaPamoja na utamu wa uzi huu tumuonye mwanafunzi anayepapia mapenzi wakati hajamaliza mitihani yake ya A level. Nawe babe S mpe nafasi uniq asome, kama kuna tatizo nitafute ili nilitatue
Sent using Jamii Forums mobile app
Una jinadi sana ila kumbukaMi naaminika, ukinipata mimi utajiona kama umezaliwa upya kabisa, utapata furaha za ndani na nje pia. Utayasahau yote yaliyokusibu. Utajiona malaika uliye duniani. utakula unachotaka na si ulichopata. Utaishi pale unapopenda hapa duniani. Nipo tayari hata kukupeleka kwenye sayari ya mars ukaone mambo mapya. nadhani ungependa kuitembelea dunia, hayo pia yapo chini ya uwezo wangu. Uamuzi ni wako. Achana na wanafunzi wa mapenzi wataishia kuuchoma moyo wako. Karibu mrembo
Sent using Jamii Forums mobile app
14:1913:16
Acha udanganywe na kujituma kwake shughulini,hana maana hata kidogo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuwa kwake nimefika..............hahahah"wakusoma ana...!
Huwa mnaanza hivyo, baadaye ni vicheko na vigelegele. Ado ado nakuja tu[emoji23][emoji23][emoji23]ushindwe na ulegee viungo vyote vikupavyo starehe[emoji23][emoji23][emoji23]
nsamaka kwa sasa yupo kibiti nilimpokea kabla sijapotea humu
[emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji1] [emoji124] [emoji124] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji124] [emoji1] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Huwa nasali sana nikiomba ukaribu wako lakini naishia kupata ndoto za jinamizi na maluweluwe. Jamani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Andjul Tayari hukuHuwa nasali sana nikiomba ukaribu wako lakini naishia kupata ndoto za jinamizi na maluweluwe. Jamani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuona unajifunza a e i o u. Hapo kaza buti Babu Andjul![]()
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Umeshatoka!!!?