Tunapenda uniq afaulu mtihani[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]mzee wa fursa nakuona...uniq mmempania leo lol
Michezo yako inatiliwa shaka kiongoziMkuu mbona ngonjera hizi kama nyuma ya pazia hali ni mbaya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anza kuchimba kwa andjul na nsamaka [emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahMaqna nafanya hivyo ili kupunguza jaziba kati yao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mrombo ananitaka mimi wewe unalazimisha
Kwema nasikia tulipotea humukwema kaka mubaya
KaribuNimerudi
HahahahaKama TL
Hahahahhha
[emoji23][emoji23][emoji23]jipe moyoHuwa mnaanza hivyo, baadaye ni vicheko na vigelegele. Ado ado nakuja tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa namuangaliaga kweli huyo kijana...muda si mrefu atakuwa amepopolewa kwa mawe[emoji23][emoji23][emoji23]unajifanya kuungana na andjul kwa babe S kumbe unamzunguka na yeye kwa nsamaka[emoji23][emoji23][emoji23]wanaume hampendani kweli
Wewe una hatari ya kumfanyia mtu upasuaji wa kichwa badala ya mguu maana hujatuliaHahaha nasomea magonjwa ya kina mama na tezi dume mtakuja tu wote
Mkuu speed hii ndio yake jana tulikuwa tunafanya repair tuJamani jinsi unavyoupeleka mbio uzi huu leo mtanifanya nishindwe kufanya kazi. Khaaaa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah kumbe ulikua unaisoma siku nyingi tu haivuki
sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
Muacheni uniq jamani[emoji23][emoji23][emoji23]Tunapenda uniq afaulu mtihani[emoji23] [emoji23]
Nimeona hajaamini imenibidi nami niulize kulikoni[emoji23] [emoji23] [emoji23]