Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Hapana hata mimi nilivyo potea hizi siku mbili kwa sasa siwezi sema maana tulikuwa pamoja na ho chi minh ila yaliyotokea yapo kwa wahusika saivi naogopa kuharibu upeleleziHahahha dah kichwa kichafu unapotezea isije kuwa umemtoa kafara maana mliondoka Siku moja