Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

_*punguzeni pombe,kuna jirani yangu amerudi amelewa sasa nachungulia dirishani naona anagonga mlango wake takribani masaa mawili,wakati hapa anaishi peke yake, kwakuwa sipendagi ujinga nimetoka nikamwambia mwenyewe kasafiri.Nae kaondoka.*_

Apambane na hali yake [emoji115][emoji115][emoji38][emoji38][emoji38]
 
2eggs 4 yolks
IMG_20170725_190149.jpg
 
Back
Top Bottom