ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Hahahaha_*punguzeni pombe,kuna jirani yangu amerudi amelewa sasa nachungulia dirishani naona anagonga mlango wake takribani masaa mawili,wakati hapa anaishi peke yake, kwakuwa sipendagi ujinga nimetoka nikamwambia mwenyewe kasafiri.Nae kaondoka.*_
Apambane na hali yake [emoji115][emoji115][emoji38][emoji38][emoji38]