Rosweeter
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,172
- 4,435
[emoji120]Welcome back my
[emoji120]Welcome back my
Ushapika eeBado mmekomaa tu
Kula hiyoLeteni likes
Bluuhuu uzi balaa
Una akili sana aisee.JF kiganjani mwa Thread moja.
Alizungusha nin pale ni msuri yatimaUmenikumbusha jamaa yangu alifaulu form four...akaenda tosa kupiga PCM duuuh kilichomkuta ni siri yake!!
Pata like!!
Stress free zone hakuna povu.Hapa sidhani kama panafaa kwa kuzungumzia maccm ama machadema,
Hapa ni sehemu kufurahi na ku like tu.
Nashangaa nakuona huku[emoji23]Kiongozi na ww upo huku?
Umefika huku, kweli like tamuLike nini?
Utanipa yoteyote!Ukinipa like nakupa noah yangu ya makinikia!!
Yani nakupa yooote bila kinyongo wala husda!!
Maneno ni mawili tu, PATA LIKE!!