Enzi za ujana wangu na PCM hapoMkwawa secondary( complex casino)
Ni weekend tu mkuu, wengine sio wanywaji, so twasubiri siku ya j3 tuingie kukimbizane na majukumuHuu uzi umewafanya watu kushinda wanaupitia
You are not serious[emoji13]
Mmmwaaa[emoji8] [emoji8]Helloooo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]hivi iñgekuwaje wewe hapo,ungekuwa na nyota ya bashite...ya kupendwa mno na Bosi wako...huku Bosi akikulia timing ya 'machale kundensa'
Chukua LIKE mkuuhuu uzi balaa
Chakwangu kimesagikaHivi kitufe cha LIKE bado kinakusumbua?