Nadha lio ukisoma post yako unajionea aibuAkuu kama unataka like njoo kapuku bana huku like zao hazifiki tano..
Uandishi huu wa jembeKillo haunatofauti sana na uandishi wa KKMkuu unamwambia nani maneno hayo matam me mwanaume bana angalia ntakuchenjua
Mtani vipi hujalala tuuHahahaha
Morning BAKKwema kabisa Mkuu. We missed you too SYB. Bora ulijiteka kuliko kutekwa na wake waliomteka Roma Mkatoliki. Just a joke Mkuu.
BadoMtani vipi hujalala tuu
Hahaaaaaaauniq na babe S tunaomba mnapomrudisha ho chi minh mkiwa na mzee wa liver na pamoja na......
Mrudishe na pesa zake za mafao ya uzeeni kabisa
Kuna post sikuziona yani nacheka mwenyewe hapaKwahiyo ho chi minh amehusika kwa kiasi kikubwa kwenye kulipia ada ya uniq eee?????