ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,490
- 8,305
Hakuna kupata kubaya kaka.Nangoja yangu mkuu!! Ila nikipewa ya kijan nitaifanya ya kubebea kinyesi cha kuku!!
Hakuna kupata kubaya kaka.Nangoja yangu mkuu!! Ila nikipewa ya kijan nitaifanya ya kubebea kinyesi cha kuku!!
Yap
Mkuu umenitengaNapitia posts za nyuma kulike maana sasa hivi watu hamtaki kupost.
Tamu kama nini?Tamu sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tunaanza na Lizaboni na kale kakiherehere Laki si pesa
Chukua like hiyo sister[emoji2] [emoji2] [emoji2] Aleyn amekuwa SI unit wa like
Uligwa mbombo.Sikuaghile inyali
Povu kafulie, hapa peace zoneStress free zone hakuna povu.
tupooooooooWazee wa like mpo?
Tupo Mkuu, chukua like hiyo.Wazee wa like mpo?
Ukiingia kwa kupitia web utaziona zote, app ndio inaonyesha mwisho tano tu, sijui kwanini!!!Hivi kwa nini mtu akipata like nyingi zaidi ya 5 na kuendelea hawaziweki wanaandika mwisho ya 5 tuu jf buana!!!!!!!
Usisahau dakuuUsiku mwema, kesho tena.