Watu wa conspiracy wanasema Hitler alitimkia zake Argentina na alifariki miaka mitano iliyopita!Aisee kweli yaani mtu anapotea kama hitler alivyopotea
Laivu kabisa nimeingia kwenye parabo. Kwema bro?It was never easy
If it was there would be
No SHIMBA ya buyenze
HahahahaWatu wa conspiracy wanasema Hitler alitimkia zake Argentina na alifariki miaka mitano iliyopita!
Asante. Siku yako inaendeleaje? Ni kweli jana nilipotea na moto ulioniwakia kwa Jakitoo ni hatari sana. Please shem kanisaidie kuuzima. Bado unafukuta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwema shem habari ya kupotea?
Hii dunia aisee ina mambo. Kutoka Shilawadu to a Genius One. Maisha ni safari and never give up![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We miss u to bro
The Genius one
Lazima atoe. Akina Moudgulf wapo wanasubirisha ohoooo !Ng'ombe 15 mchezo
Salama.Za mchana?
Nipo dadangu. Halafu naomba nikuulize. Kati ya Andjul na Moudgulf ni nani uliyemchagua? Moudgulf anasema etu nimekula ng'ombe wake wakati hata hatumtambui rasmi. Hii imekaaje hii sis? Hebu kata mzizi wa fitina. Mume halali ni nani?Kaka nakusalim
Andjul ndio mwenye mke na ndie alietoa mahari.Nipo dadangu. Halafu naomba nikuulize. Kati ya Andjul na Moudgulf ni nani uliyemchagua? Moudgulf anasema etu nimekula ng'ombe wake wakati hata hatumtambui rasmi. Hii imekaaje hii sis? Hebu kata mzizi wa fitina. Mume halali ni nani?